Kwahiyo mbadala wa dawa ni magari ya wagonjwa eeeh?
Mkuu, huu ni ni mkopo toka serikali ya India, hapana shaka ni kufuatia ile ziara ya Waziri Mkuu wa India.Washapiga pesa hapo Mkuu. Badala ya kwenda kulipa deni la bilioni 100 la MSD ili madawa muhimu yasambazwe mahospitalini nchini kipaumbele chao ni kununua magari!
Ya kazi gani brother?waongeze na magari ya washa washa
yaani serikali hii ya CCM badala ya kutumia fedha hizo kuwalipia wanafunzi waliokosa mikopo, wao wanakimbilia kwenda kununua magari ya washawasha ili kuwadhibiti UKAWA. hivi ni lini serikali hii itaanza kujitambua?View attachment 421602
Kampuni ya utengenezaji wa magari ya Ashok Leyland India, imepokea oda ya thamani ya USD 170 milloin kwa ajili ya usumbazaji wa magari na spea toka kwa serikali ya Tanzania. Pamoja na usumbazaji wa magari hayo, Kampuni hiyo inategemea kutoa mafunzo ya aina mbalimbali kwa matumizi ya magari yake.
Ukiacha Tanzania nchi nyingine barani Afrika iliyoingia biashara na Kampuni hiyo ni Cote D' Ivore ambayo inategemea kutumia Dola za kimarekani million mia mbili.
Hizo gari sijawahi kuziamini zile za polisi ambazo tarehe 25 mwezi huu zinafikisha anniversary ya mwaka moja toka waanze kuzitumia zimeshaanza kukongorokaWana barabara za hizo bajaji?