cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Magari ya Wagonjwa ni sehemu tu ya idadi ya magari yote yatakayo kuja.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio itanufaika zaidi na ununuzi huu!
Magari ya Wagonjwa ni sehemu tu ya idadi ya magari yote yatakayo kuja.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio itanufaika zaidi na ununuzi huu!
Acha kujitisha,msaada in dola milioni 500,lazima zitawanyweyaani serikali hii ya CCM badala ya kutumia fedha hizo kuwalipia wanafunzi waliokosa mikopo, wao wanakimbilia kwenda kununua magari ya washawasha ili kuwadhibiti UKAWA. hivi ni lini serikali hii itaanza kujitambua?
Walianza na madawati kabla ya vitabu na maslahi ya waalimu.. Kwahiyo ndivyo walivyo mkuu,... Wakurupukaji ktk ubora waoKwahiyo mbadala wa dawa ni magari ya wagonjwa eeeh?
Kama utaleta ufyokofyoko tutakuwahisha tu mochwariHapo nimekuelewa. Kumbe wapo kwenyeharakati za kuimarisha ulinzi, na magari ya wagonjwa yatasaidia kwa karibu kuwahisha waandamanaji mochwari?!.
Yawezekana..Kwahiyo mbadala wa dawa ni magari ya wagonjwa eeeh?
ikitokea mgonjwa anatakiwa kufuatwa au kupewa rufaa unaskia hakuna mafutaWashapiga pesa hapo Mkuu. Badala ya kwenda kulipa deni la bilioni 100 la MSD ili madawa muhimu yasambazwe mahospitalini nchini kipaumbele chao ni kununua magari!
Kama utaleta ufyokofyoko tutakuwahisha tu mochwari
Hizo gari haziwezani na barabara za Bongo. Walete Toyota Landcruiser tu. Kitu cha mkonga.Hizo gari sijawahi kuziamini zile za polisi ambazo tarehe 25 mwezi huu zinafikisha anniversary ya mwaka moja toka waanze kuzitumia zimeshaanza kukongoroka
Labda wanakwepa gharama lakini nijuavyo zile hata kama wananunua bei poa ila spea itakuwa ni balaaHizo gari haziwezani na barabara za Bongo. Walete Toyota Landcruiser tu. Kitu cha mkonga.
Mkuu hakuna Ashik Leyland, kuna Ashik Majinuni tuAaa brother kumbe upo kiongozi.. Heshima yako bro....
Gari nyingi za jeshi letu na polisi naona ni hizi ashik leyland
Ukiyona hayo magari unapona mwenyewe!Kwahiyo mbadala wa dawa ni magari ya wagonjwa eeeh?
Mkuu umeshaziona lakini ashok Leyland za jeshi(jwtz/jkt)?zipo poa tu ila Mimi nazikubali sana ivecoHizo gari haziwezani na barabara za Bongo. Walete Toyota Landcruiser tu. Kitu cha mkonga.
View attachment 421602
Kampuni ya utengenezaji wa magari ya Ashok Leyland India, imepokea oda ya thamani ya USD 170 milloin kwa ajili ya usumbazaji wa magari na spea toka kwa serikali ya Tanzania. Pamoja na usumbazaji wa magari hayo, Kampuni hiyo inategemea kutoa mafunzo ya aina mbalimbali kwa matumizi ya magari yake.
Ukiacha Tanzania nchi nyingine barani Afrika iliyoingia biashara na Kampuni hiyo ni Cote D' Ivore ambayo inategemea kutumia Dola za kimarekani million mia mbili.