Tetesi: Serikali kununua magari aina ya Ashok Leyland zaidi ya 700...

yaani serikali hii ya CCM badala ya kutumia fedha hizo kuwalipia wanafunzi waliokosa mikopo, wao wanakimbilia kwenda kununua magari ya washawasha ili kuwadhibiti UKAWA. hivi ni lini serikali hii itaanza kujitambua?
Mpaka watakapotoka madarakani
 
Ni wakati wa kulipa fadhila sasa zile Ashok za polisi
 
Aaa brother kumbe upo kiongozi.. Heshima yako bro....
Gari nyingi za jeshi letu na polisi naona ni hizi ashik leyland
Tulipewa kama msaada sasa tunalipa fadhila [emoji15] [emoji35] [emoji15] [emoji35] [emoji15] [emoji15] [emoji84] [emoji84] [emoji84] [emoji84] [emoji84]
 
Washapiga pesa hapo Mkuu. Badala ya kwenda kulipa deni la bilioni 100 la MSD ili madawa muhimu yasambazwe mahospitalini nchini kipaumbele chao ni kununua magari!

Viongozi wa masikini hao kaka!
 
Tulipewa kama msaada sasa tunalipa fadhila [emoji15] [emoji35] [emoji15] [emoji35] [emoji15] [emoji15] [emoji84] [emoji84] [emoji84] [emoji84] [emoji84]


Brother hatukupewa, tulitamanishwa Kama kuku anavyodanganyiwa pumba.
 
Tz bingwa wa kusaidia nchi na makampuni yake kukua kiuchumi. Ukiwauliza durability vipi utaambiwa haya mazuri sana lakin after 3 years utayakuta juu ya mawe
 
Hata malaika hawezi kuiongoza nchi hii, tumekuwa kama taifa la Israel, kulalamika na manung'uniko kila saa. Hili ni taifa masikini, litabaki hivi kwa muda mrefu...
 
wanazidi kuchemka tuu hapo magari hamnana sasa hivi mahitaji muhimu sio hivyo vitakataka...kodi mnaweka kubwa ili muagize uchafu wenu huo gari gani inatumika miaka mitatu tuu ni scraper..
 
Tulipewa kama msaada sasa tunalipa fadhila [emoji15] [emoji35] [emoji15] [emoji35] [emoji15] [emoji15] [emoji84] [emoji84] [emoji84] [emoji84] [emoji84]
Huu ni mkopo mwingine, na ni baada ya ile ziara ya Waziri Mkuu wao... Tujiandae kulipa tu!
 
Serikali hapa haina ujanja wowote, kwani tayali walihaidiwa mkopo huu! Kwa maneno mengine serikali ya India imeamua kupitisha mkopo huu kwenye kiwanja cha magari yao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…