Mkuu, huu ni ni mkopo toka serikali ya India, hapana shaka ni kufuatia ile ziara ya Waziri Mkuu wa India.
Kampuni ya Ashok Leyland imetangaza leo, kusambaza magari, workshop na spea kwa Tanzania. .. nimeona kwenye Business Asia News mapema jioni ya leo kupitia Luninga. .. sikuweza kashika detail nyingi zaidi za habari hii....