Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Waziri wa fedha amesoma bajeti na tunaendelea kuichambua kipengele kimoja baada ya kingine. kwa ufupi ni kwamba wanasiasa wameshindwa kutatua changamoto zetu.
Wakati taifa likiwa katika mtanzuko mkubwa wa ajira na kuhimiza vijana wetu waegemee zaidi kilimo hasa cha umwagiliaji, Serikali imeamua kuwavunja moyo kwa kuongeza kodi katika uanzishwaji wa vikundi vya umwagiliaji. Je tuendelee kuwaamini hawa AKILI ndogo katika kutuongoza?
cc Mwigulu Nchemba