Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Wafanyabiashara wamenyonywa sana wapunguziwe au Wasamehewe kwa muda fulani.wafanyabiashara wasamehewe kodi
Kwa hiyo wakulima ndio walikuwa wanapendelewa ? Yaani kiongozi na akili zako timamu unaenda kuongeza kodi kwa wakulima na kupunguza kwa wafanyabiashara, huyo Rais wenu hajielewi.Wafanyabiashara wamenyonywa sana wapunguziwe au Wasamehewe kwa muda fulani.
Wakulima nao waanze kulipa Kodi stahiki commercial farmers walipe.Kwa hiyo wakulima ndio walikuwa wanapendelewa ? Yaani kiongozi na akili zako timamu unaenda kuongeza kodi kwa wakulima na kupunguza kwa wafanyabiashara, huyo Rais wenu hajielewi.
Mwigulu ni mbulura sanaWaziri wa fedha amesoma bajeti na tunaendelea kuichambua kipengele kimoja baada ya kingine. kwa ufupi ni kwamba wanasiasa wameshindwa kutatua changamoto zetu.
Wakati taifa likiwa katika mtanzuko mkubwa wa ajira na kuhimiza vijana wetu waegemee zaidi kilimo hasa cha umwagiliaji, Serikali imeamua kuwavunja moyo kwa kuongeza kodi katika uanzishwaji wa vikundi vya umwagiliaji. Je tuendelee kuwaamini hawa AKILI ndogo katika kutuongoza?
cc Mwigulu Nchemba
Toa ujinga hapa, hivi mtu mwenye eka zake 5 za umwagiliaji ni commercial farmer, SSH hana vision kabisa, ataenda kupandisha bei za vyakula na kuleta inflation sababu ya maamuzi yake ya kukurupuka yanaonyesha kichwani mtupu.Wakulima nao waanze kulipa Kodi stahiki commercial farmers walipe.
Tunamuunga mkono Mama we unafahamu kuwa hao Wakulima huwa hawalipi hata Kodi ya Ardhi,sasa kwanini sisi Wafanyabiashara tulipe Makodi yote ya Nchi na wao waburudike na free ride hapanaToa ujinga hapa, hivi mtu mwenye eka zake 5 za umwagiliaji ni commercial farmer, SSH hana vision kabisa, ataenda kupandisha bei za vyakula na kuleta inflation sababu ya maamuzi yake ya kukurupuka yanaonyesha kichwani mtupu.