Serikali kupanga bei kikomo ya Saruji kwa kila Mkoa

Serikali kupanga bei kikomo ya Saruji kwa kila Mkoa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara ikamilishe utaratibu wa kuwa na bei kikomo ya saruji ili kuuwezesha kila mkoa kujua bidhaa hiyo inapaswa kuuzwa kwa bei gani kwa nia ya kuondoa upandishwaji holela unaofanywa na wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu...
Anapiga ngumi ukuta. Je, swala la sukari, mafuta ya kula limeishia wapi? Supply more then bei chini.
 
Hahahaaaaaa majaliwa aache kujivunjia heshima Kwa kutumwa. Acheni wafanyabiashara warudishe pesa zao mlizochukuwa wakati wa kampeni
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara ikamilishe utaratibu wa kuwa na bei kikomo ya saruji ili kuuwezesha kila mkoa kujua bidhaa hiyo inapaswa kuuzwa kwa bei gani kwa nia ya kuondoa upandishwaji holela unaofanywa na wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu...
Watanzania ,watanganyika na wazanzibar wanakatishwa tamaa na baadhi ya wanasiasa na maamuzi yao, hivyo wanaamua kuachana na mambo ya kufatilia Siasa!

Niwakumbushe tu ndugu zangu, sukari tunayokorogea Hot beverage ni siasa, mafuta tunayoweka kwenye automobile ni siasa, beer na condom tunazotumia ni siasa!

Tusiache, tuendelee kujadili SIASA, siasa ni maisha.
 
Back
Top Bottom