Serikali kupanga bei kikomo ya Saruji kwa kila Mkoa

Anapiga ngumi ukuta. Je, swala la sukari, mafuta ya kula limeishia wapi? Supply more then bei chini.
 
Hahahaaaaaa majaliwa aache kujivunjia heshima Kwa kutumwa. Acheni wafanyabiashara warudishe pesa zao mlizochukuwa wakati wa kampeni
 
Watanzania ,watanganyika na wazanzibar wanakatishwa tamaa na baadhi ya wanasiasa na maamuzi yao, hivyo wanaamua kuachana na mambo ya kufatilia Siasa!

Niwakumbushe tu ndugu zangu, sukari tunayokorogea Hot beverage ni siasa, mafuta tunayoweka kwenye automobile ni siasa, beer na condom tunazotumia ni siasa!

Tusiache, tuendelee kujadili SIASA, siasa ni maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…