The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Hizi zilisharuhusiwa, inatakiwa tuu usajili/leseni yako isome 24hrsImekaa vyema,waruhusu pia safari za usiku 24 hrs.
Aliyekuelewa anisaidieWala gambeii, ukilema unaopoa malaya hatukati tiketi tena.
Nitakuwa nabahatisha mikweche ya mwisho mwisho.
Kwanza ni upuuzi kutunga masoko au biashara saa 12 jioni au saa 6 usiku,weka Taa kwenye masoko mitaani na barabarani uchumi ufanye kazi saa 24Uchumi ufanye kazi masaa 24, wenye mabasi watachagua, aondoke saa 11, 12.....mtu anayeenda Kagera anaweza asiwe analala kahama
Wanaotaka hivyo waombe vibali ni.ruksaKwa nini mabasi yasiachwe kufanya kazi 24 hours? Uingiliaji huu wa serikali kwenye shughuli za watu ukifungamanishwa na vikwazo ni wa kukemewa bila kukoma.
Masoko hayajifungi, bali hufungwa na wenye biashara. Mtu anaishi Mbande anafunga usiku akimtegemea nani kuja nunua bidhaa?Kwanza ni upuuzi kutunga masoko au biashara saa 12 jioni au saa 6 usiku,weka Taa kwenye masoko mitaani na barabarani uchumi ufanye kazi saa 24
Sababu ya majambazisafari ngumu ni ya kwenda Mkoa wa Kigoma haswa kutokea DSM kkwenda Kigoma wasafiri lazima walale njiani kisha asubuhi wanaanza tena safri !!!!
hii ni kero kubwa sana kwa wasafiri, inasababisha usumbufu lakini pia inaleta hasara kwa wafanyabiashara, safari ya siku mbili!!!
Aliyekwambia yanazuiwa ni nani?Kwa nini mabasi yasiachwe kufanya kazi 24 hours? Uingiliaji huu wa serikali kwenye shughuli za watu ukifungamanishwa na vikwazo ni wa kukemewa bila kukoma.
Huwa yanafungwa na Sheria ndivyo zinataka ,unakuta wameweka migambo kabisa..Masoko hayajifungi, bali hufungwa na wenye biashara. Mtu anaishi Mbande anafunga usiku akimtegemea nani kuja nunua bidhaa?
Ww hujamuelewa.hakuna gari inaruhusiwa kuanza Safari saa 12 jion ya abiria.so mchangiaj anatka uhuru kwenye hiloAliyekwambia yanazuiwa ni nani?
Wanaotaka hivyo waombe vibali ni.ruksa
Ndani ya EA ...Rwanda, Uganda, Kenya usafiri wa umma 24/7 kigali soko wanafunga saa 6 usiku... Bank saa nne usiku kwanini uchumi usikimbie.Huwa yanafungwa na Sheria ndivyo zinataka ,unakuta wameweka migambo kabisa..
Ni hivi ukifunga wengine waendelee pale pale Nje ya frame yako
Ndani ya EA ...Rwanda, Uganda, Kenya usafiri wa umma 24/7 kigali soko wanafunga saa 6 usiku... Bank saa nne usiku kwanini uchumi usikimbie. Sisi tunafukuzana na muda kuwahi bank ikifika saa 9:30 alasili huingii... sokoni ikifika saa 1130 jioni huingii... maduka makubwa kufunguliwa mpaka saa 3 mengine saa4 kufungwa saa 10 ujinga mzigo sana.