Serikali kupitia LATRA yaruhusu mabasi ya abiria kuanza safari za mikoani Saa 11 Aflajiri

Serikali kupitia LATRA yaruhusu mabasi ya abiria kuanza safari za mikoani Saa 11 Aflajiri

Ndani ya EA ...Rwanda, Uganda, Kenya usafiri wa umma 24/7 kigali soko wanafunga saa 6 usiku... Bank saa nne usiku kwanini uchumi usikimbie. Sisi tunafukuzana na muda kuwahi bank ikifika saa 9:30 alasili huingii... sokoni ikifika saa 1130 jioni huingii... maduka makubwa kufunguliwa mpaka saa 3 mengine saa4 kufungwa saa 10 ujinga mzigo sana.
Tuna akili na Sheria za kijamaa Bado zisizo na msingi
 
Sababu ya majambazi
kwahiyo unataka kusema kuwa majambazi wana nguvu kuliko Polisi wetu?!

sidhani kama ni sahihi, Jeshi letu likiamua kulinda usalama kwenye eneo hilo kuanzia Wilaya ya Kaliua Hadi Kigoma wasafiri watasafiri masaa 24 bila tatizo.

Nchi yetu ni huru na salama bali tunajitia hofu ya bure tu.

Mabasi ya kwenda Mkoa wa Kigoma kutoka Dsm yasilale Kaliua yaendelee na safari.
 
safari ngumu ni ya kwenda Mkoa wa Kigoma haswa kutokea DSM kkwenda Kigoma wasafiri lazima walale njiani kisha asubuhi wanaanza tena safri !!!!

hii ni kero kubwa sana kwa wasafiri, inasababisha usumbufu lakini pia inaleta hasara kwa wafanyabiashara, safari ya siku mbili!!!

Mikoa mabasi yanayolala njiani ni kagera na kigoma, musoma hawalali sababu ya barabara yao haina changamoto za kiusalama japo ni mbali kuliko hata kigoma, barabara ya Tabora kigoma ingemalizika lami, ingesaidia maana Dar to mpanda naona wao ni siku moja tu wanefika,
 
kwahiyo unataka kusema kuwa majambazi wana nguvu kuliko Polisi wetu?!

sidhani kama ni sahihi, Jeshi letu likiamua kulinda usalama kwenye eneo hilo kuanzia Wilaya ya Kaliua Hadi Kigoma wasafiri watasafiri masaa 24 bila tatizo.

Nchi yetu ni huru na salama bali tunajitia hofu ya bure tu.

haiwezekani tuwaachie majambazi kutatiza safari zetu za kibiashara.
hata mikoa ya Iringa ilikuwa ikifika saa 6 usiku huruhusiwi kupita maeneo ya Ihefu kutokana na hali ya usalama lkn siku hizi huna ujinga huo.

Mabadi ya kwenda Mkoa wa Kigoma kutoka Dsm yasilale Kaliua yaendelee na safari.
 
Ndani ya EA ...Rwanda, Uganda, Kenya usafiri wa umma 24/7 kigali soko wanafunga saa 6 usiku... Bank saa nne usiku kwanini uchumi usikimbie. Sisi tunafukuzana na muda kuwahi bank ikifika saa 9:30 alasili huingii... sokoni ikifika saa 1130 jioni huingii... maduka makubwa kufunguliwa mpaka saa 3 mengine saa4 kufungwa saa 10 ujinga mzigo sana.
Kuna watu wameshindwa kutekeleza jukumu lao la kuhakikisha usalama wa raia na mali zao hvo wameamua kuangushia zigo kwa wananchi kwa kuwalazmisha kuwahi kufunga biashara na kuchelewa kufungua mfano bank znafunga saa 10.30 jion na kufungua saa 2.30 asubuh,,,,,

Technicall kuna masaa 8 tu kati ya masaa 24 ya sku nzma ya mteja kwenda bank!!!!!! Thats nonsense
 
Back
Top Bottom