The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
- Thread starter
-
- #21
Tuna akili na Sheria za kijamaa Bado zisizo na msingiNdani ya EA ...Rwanda, Uganda, Kenya usafiri wa umma 24/7 kigali soko wanafunga saa 6 usiku... Bank saa nne usiku kwanini uchumi usikimbie. Sisi tunafukuzana na muda kuwahi bank ikifika saa 9:30 alasili huingii... sokoni ikifika saa 1130 jioni huingii... maduka makubwa kufunguliwa mpaka saa 3 mengine saa4 kufungwa saa 10 ujinga mzigo sana.
kwahiyo unataka kusema kuwa majambazi wana nguvu kuliko Polisi wetu?!Sababu ya majambazi
safari ngumu ni ya kwenda Mkoa wa Kigoma haswa kutokea DSM kkwenda Kigoma wasafiri lazima walale njiani kisha asubuhi wanaanza tena safri !!!!
hii ni kero kubwa sana kwa wasafiri, inasababisha usumbufu lakini pia inaleta hasara kwa wafanyabiashara, safari ya siku mbili!!!
Odfcoz sababu za kizee sana kuzuia safari za usikuImekaa vyema,waruhusu pia safari za usiku 24 hrs.
Kuna watu wameshindwa kutekeleza jukumu lao la kuhakikisha usalama wa raia na mali zao hvo wameamua kuangushia zigo kwa wananchi kwa kuwalazmisha kuwahi kufunga biashara na kuchelewa kufungua mfano bank znafunga saa 10.30 jion na kufungua saa 2.30 asubuh,,,,,Ndani ya EA ...Rwanda, Uganda, Kenya usafiri wa umma 24/7 kigali soko wanafunga saa 6 usiku... Bank saa nne usiku kwanini uchumi usikimbie. Sisi tunafukuzana na muda kuwahi bank ikifika saa 9:30 alasili huingii... sokoni ikifika saa 1130 jioni huingii... maduka makubwa kufunguliwa mpaka saa 3 mengine saa4 kufungwa saa 10 ujinga mzigo sana.