President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hivi ndio namna ya Tanzania kupambana na corona
So hizo ndizo njia TZ inatumia tangu mwanzo.Mbona kama wameandika kisiasa hivi? Yani wameandika as if ugonjwa umeshaisha na wanajisifu njia zao zimefanya kazi.
Unforgetable
Acheni kutisha watu,kwani maji ya kujifukizia yameisha? Au mmeanza uvivu?
Wewe endelea kusubiri rais atangaze ufungiwe ndani.Acheni kutisha watu,kwani maji ya kujifukizia yameisha? Au mmeanza uvivu?
Ni jambo jema!
Mkuu kwani na wewe umeshajifungia ndani? Acha uvivu
Acheni uvivu,kachapeni kazi serikali ipate revenue,mtakufa na njaa shauri yenuJambo jema, naushauri kamati taifa corona,iwalipe posho wataalam mahususi afya kutoa elimu na kugaramia media tv,radio na blogs.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni uvivu,kachapeni kazi serikali ipate revenue,mtakufa na njaa shauri yenu
Hii ni ushauri kutoka ofisi ya Waziri mkuu, juzi tulipata ushauri kutoka Ikulu na jtatu tunapata ushauri kutoka wizara ya afya. Baadae tutapata ushauri kutoka kwa kila mkuu wa mkoa; Bunge likiisha tutapata ushauri kutoka kwa Wabunge.
Mwisho kabisa hali itakua mbaya zaidi alafu tunarudi kufuata ushauri wa WHO na wataalam wa afya.
Kumbuka mkuu wa mkoa Dar yeye alishasema Corona ni kirusi kidogo sana hakimtishi yeye mwanamme aliyekamilika anatoka nje anaenda kupambana na Corona.
Tatizo kwenye daladala japo level sit ila zile siti hata robo mita haifiki