Serikali kupitia ofisi ya Waziri Mkuu yatoa njia za kujikinga na COVID-19

Hapo nambari tatu ambapo panahusu tahadhari ndipo kuna mtihani.
Kwanini bar zisifungwe au kwakuwa mkuu ana bar yake pale Chita mnaogopa kupigwa pin?
 
Hujui.....mwishoni viongozi wa vyama vya upinzani, hao ndiyo tutakao wasikiliza......sijui......fungia watu majumbani wasiende kutafuta riziki!
 
Hujui.....mwishoni viongozi wa vyama vya upinzani, hao ndiyo tutakao wasikiliza......sijui......fungia watu majumbani wasiende kutafuta riziki!
Riziki huwa inatafutwa pale mtu akiwa mzima na hai?anyway tuchape kazi maana hao wanaokufa walikuwa wazembe na wasiojua kutafuta hizo riziki
 
Hujui.....mwishoni viongozi wa vyama vya upinzani, hao ndiyo tutakao wasikiliza......sijui......fungia watu majumbani wasiende kutafuta riziki!
Kwasasa akili yako imeshikizwa kwenye fungia watu ndani wasiende kutafuta riziki utadhani ndiyo option pekee iliyopendekezwa. Ukiulizwa njia zilizopendekezwa unataja hiyo tu?
Au wewe unaona kuachia mipaka ya nchi yetu bila option yoyote ni kawaida tu au ndo njia nzuri ya mapambano?
 
Bunge limekwishatoa ushauri kwa serikali. Wanasema kuwa waganga wa Gamboshi wana uwezo wa kuangamiza kirusi, wapewe nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bunge limekwishatoa ushauri kwa serikali. Wanasema kuwa waganga wa Gamboshi wana uwezo wa kuangamiza kirusi, wapewe nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimsikiliza anaesema hayo anazo dawa zilizotengenezwa na wataalam kwenye begi lake wala haendi huko Gambosi. Kibaya zaidi huko Gambozi kuna duka la dawa baridi hapo kijijini.
 
Cover up ya president speech!
Good!
Ila kunapaswa kuwa na enforcement mechanism.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…