Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inasambaza mitungi ya gesi 13,020 mkoani Shinyanga

Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inasambaza mitungi ya gesi 13,020 mkoani Shinyanga

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inasambaza mitungi ya gesi 13,020 mkoani Shinyanga.

Mitungi ya gesi ya kilo 6
yenye thamani ya shilingi milioni 545.538, Itasambazwa kwa bei ruzuku ya shilingi 20,950, badala ya shilingi 41,900

Lengo ni kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kuokoa mazigira na afya za watu.

Nishati Safi ya Kupikia ni Ajenda ya Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan
IMG-20250103-WA0123.jpg
IMG-20250103-WA0123.jpg
 
Back
Top Bottom