Kwitogelo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 310
- 442
Kuna tangazo lipo kwenye mtandao wa kijamii wa facebook linahusu kutibu HIV, ni mwezi wa sita huu kama sikosei tangu nimeanza kuliona.
Nimeweka hapo jina la daktari na wakala wake kwa hapa Tanzania.
Ninachoweza kufahamu hakuna kitu kama hicho na mbaya zaidi watu inaonekana wanatapeliwa sana kutokana na maswali wanayouliza na majibu yanayotolewa na huyo anaejiita wakala kwa hapa Tanzania.
Wizara ya Afya ifanye kumchukulia sheria mtu huyo watu anacheza na akili za watu kwenye jambo serious kabisa.