Serikali kupoteza mabilioni sababu ya tatizo la Internet

Hizi Ndio Taarifa Sasa, Asante Mkuu
 
Kuna VPN natumia hapa, hakika naenjoy sana maana network imerudi kuwa stable kama kawaida πŸ€’πŸ˜Ž
 
6 days..??

ETR - 6 days kufix Fiber cut ila alternative ndiyo hiyo ya chini.

The Tigo/Zantel team is collaborating with their group team to perform a temporary capacity upgrade on this secondary link today
 
Endelea kujidanganya hii issue ni ya infrastructure hata VPN haisaidii ni sawa daraja limevunjika haijalishi upande pikipiki au v8 wote mtasubiri
Hiyo ni juu yako sasa kuamini au kutokuamini, mimi hainihusu kabisa πŸ€’πŸ˜Ž
 
ETR - 6 days kufix Fiber cut ila alternative ndiyo hiyo ya chini.

The Tigo/Zantel team is collaborating with their group team to perform a temporary capacity upgrade on this secondary link today
Ndio.. na hiyo ya m'badala imezidiwa, mzigo mkubwa
 
Hiyo ni juu yako sasa kuamini au kutokuamini, mimi hainihusu kabisa πŸ€’πŸ˜Ž
kama nia yako kubisha endelea kubisha lakini fahamu anayekwambia ni mtaalamu wa mawasiliano kama umeona improvement basi ni hiyo backup link wanayotaka kuiupgrade capacity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…