Huyo waziri ni kaizi inamaana hajui foleni ya Dar inasababishwa na nini? wameanzisha mamiradi kama ya mwendokasi imewashinda, treni sijui ya mwakyeme imewqshinda unategemea miujiza gani kuondoa hiyo foleni zaidi ya kuimarisha usafiri wa umma tena uwe nafuu , rahisi na wauhakika? Mimi nashangaa hawa mawaziri wanapewaga uwaziri kwa criteria zipi.