Serikali kupunguza waombaji mikopo vyuo vikuu.

wanarudi kule kule waliposhauri kina BAHATI TWEVE!!!
 
Vip kuhusu wale wa ECA nao wanawekwa kundi la art

yaah kundi la arts

but kwa maoni yangu naona EGM na ECA wameonewa kuwekwa sawa na HKL,HGK,HGL,

MSININUKUU VIBAYA NI MAWAZO YANGU WAKUU.
 
Na vipi kuhusu wa masomo ya sayansi walio maliza 2013 wenye point 3 hadi 3.5
 
Siamini kabisa hayo ni maandishi tu kwani utekelezaji tofauti.
Mwaka wa masomo 2013/2014 kulikuwa na priority programs.
Mwanafunzi mmoja ana CDD ya Pcm na alikuwa ameomba Engineering, huyu mwanafunzi ni single parent (ana mama tu baba amefariki) alipewa mkopo 0%
kuna mwanafunzi mwingine ana DEE ya Hgl na alikuwa ameomba sociology, huyu mwanafunzi ni single parent (ana mama tu baba amefariki) lakini alipewa mkopo zaidi ya 40%. Na kitabu cha mwongozo wa kuomba kozi cha tcu kiliweka wazi nani anastahili mkopo na nani hastahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…