Serikali kupunguza waombaji mikopo vyuo vikuu.

Serikali kupunguza waombaji mikopo vyuo vikuu.

Na vipi kuhusu wa masomo ya sayansi walio maliza 2013 wenye point 3 hadi 3.5
 
Siamini kabisa hayo ni maandishi tu kwani utekelezaji tofauti.
Mwaka wa masomo 2013/2014 kulikuwa na priority programs.
Mwanafunzi mmoja ana CDD ya Pcm na alikuwa ameomba Engineering, huyu mwanafunzi ni single parent (ana mama tu baba amefariki) alipewa mkopo 0%
kuna mwanafunzi mwingine ana DEE ya Hgl na alikuwa ameomba sociology, huyu mwanafunzi ni single parent (ana mama tu baba amefariki) lakini alipewa mkopo zaidi ya 40%. Na kitabu cha mwongozo wa kuomba kozi cha tcu kiliweka wazi nani anastahili mkopo na nani hastahili.
 
Back
Top Bottom