Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia mwaka wa masomo 2014/2015 waombaji wapya watatakiwa kuwa na alama(cut off) 4.0 katika kozi zote za sanaa, kwa kigezo hiki kuna watu wengi sana watanyimwa mikopo kwa kushindwa kufikisha alama hizo.
source:TCU guide book.

Acha kupotosha watu....TCU guidebook cutpoints ni 2.0 kwa arts&science....Points zinatofautiana kutokana na chuo unachoomba...baed udom &saut ni 2.5....UDSM baed 5.0 from 3 subjects....kwahiyo usidanganye watu ukafiri hatujachimbua hiyo guidebook 2014/2015
Hazishuki ni zile zile ebu pitia Tcu guide book uone.
Acha kupotosha watu....TCU guidebook cutpoints ni 2.0 kwa arts&science....Points zinatofautiana kutokana na chuo unachoomba...baed udom &saut ni 2.5....UDSM baed 5.0 from 3 subjects....kwahiyo usidanganye watu ukafiri hatujachimbua hiyo guidebook 2014/2015
na kweli,,arts msomee bhana sio kwenda kuchukua mabumu tuu aaah inakera nenden certificates uko