Suala la ajira limekuwa ni janga katika nchi nyingi ikiwemo Tanzania.
Tanzania kila mwaka wanahitimu wasomi wengi wa fani tofauti tofauti lakini wanaopata ajira serikalini na sekta binafsi ni wachache.
Serikali kupitia mabalozi waliopo nchi tofauti tofauti watafute ajira katika nchi husika na watanzania watakao pata ajira katika nchi hizo,mabalozi wakishirikiana na wasaidizi wao wawe mstari wa mbele kufuatilia stahiki za waajiriwa hao.
Serikali ikilipa jambo hili kipaumbale basi watanzania waliowengi watapata ajira na itakuwa rahisi pia kwa nchi kupata fedha za kigeni.

Upvote
3