Serikali kusomesha wataalamu nje ya nchi, Je ni kweli wanasaidia inch yetu?

Serikali kusomesha wataalamu nje ya nchi, Je ni kweli wanasaidia inch yetu?

Mabel

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2010
Posts
1,276
Reaction score
684
Wakuu salam

Ni mda sasa serikali yetu ama kwa kushirikiana na nchi marafiki imekuwa ikipeleka watanzania inje ya nchi kwa lengo la kuwasomesha hatimaye kupata wataalaam wa sekta mbalimbali zisizo kuwa/zenye upugufu wa wataamu nia ikiwa baada ya kuhitimu warudi nchini ili kusaidia kuleta maendelea ya kiuchumi na jamii nzima ya watanzania.

Je, kama taifa ni kweli tunafaidika na juhudi hizi za serikali yetu na nchi washirika? Nalisema kwa sababu nimeshuhudia idadi kubwa ya watanzania wakienda kusoma inje ya inchi na wengi wao hawarudi inchini baada ya masomo, wenye uhakika wa kurudi ni wale waliokwenda wakiwa tayari watumishi wa serikali. Mfano; wakati mimi nikijiunga na masomo ya Elimu ya juu hapa Tanzania, jamaa zangu wengi walipata udhamini wa kwenda kusoma nga'mbo na baada ya kuhitimu wapo waliobaki hukohuko, kundi lingine likiishia kupata ajira falme za kiarabu na baadhi kurudi inchin nao wakiishia sekta binafsi.

Je tatizo ni nini ikiwa serikali kila siku inalalama ukosefu wa wataalam ilhali ikiandaa watalaam wasio kuwa na mchango kwa taifa?
 
Back
Top Bottom