Serikali kutoa tamko kuhusu chanjo ya Coronavirus

Hakuna unabii wowote,utapeli mtupu na vitisho vya kijinga tu.
Hii ni zaidi ya chanjo, 2021 itashuhudia changamoto nyingi mno dhidi ya usalama wa mwanadamu. Hii wala si ramli chonganishi bali ni kutimia kwa unabii kuhusu nyakati za mwisho.
 
Waliosema hawahitaji chanjo hiyo badala yake tujikite kwenye mizizi ni akina nani ?
 
Sayansi ishike hatamu kwenye maamuzi ya hili. Yaani Wanataaluma wahusika (madaktari) ndio watuongoze kwenye maamuzi na sio wanasiasa.
 
Ole wenu mjichanganye mseme hamtaki chanjo mtajibeba..
 
Hii ni zaidi ya chanjo, 2021 itashuhudia changamoto nyingi mno dhidi ya usalama wa mwanadamu. Hii wala si ramli chonganishi bali ni kutimia kwa unabii kuhusu nyakati za mwisho.
Acha ubwege
 
Bora wakae Kimya tu, wanatoa Tamko kwani kuna aliyewalazimisha kutumia hiyo chanjo ?
 
Wawe makini tu hapa tafadhali kwani kuna Mtego ambao wametegwa na kuna Uwezekano wasipotumia vyema Akili zao wataungia na Kutegeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…