Serikali kutoa tamko kuhusu chanjo ya Korona inayotolewa na WHO kwa nchi mbalimbali duniani

Serikali kutoa tamko kuhusu chanjo ya Korona inayotolewa na WHO kwa nchi mbalimbali duniani

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Dar es Salaam The minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Dr Dorothy Gwajima, yesterday said the government will issue an official statement on its stand regarding Covid-19 vaccines soon.

Many countries around the world are rolling out the vaccine following discovery and distribution of the Covid-19 vaccine by rich countries, with the majority of poor countries subscribing to access the technology.

On Wednesday, Britain approved a low-cost vaccine developed by the University of Oxford and the drug firm AstraZeneca, making it the third jab to win approval in the West, after the Pfizer-BioNTech and Moderna vaccines.

Tanzania has persistently been silent for a long time on its stand to use or not to use the Covid-19 vaccines, as the government maintains that there are no Covid-19 patients.

Speaking during her official tour of Muhimbili National Hospital (MNH) in Dar es Salaam yesterday, Dr Gwajima told The Citizen that the government will soon issue an official statement on the matter.

“I cannot tell (the reporter) you now; but we (government) will issue a public statement soon. So, be patient,” she said as she was touring different departments at the national hospital.
 
Ukweli sina imani na hizo chanjo ambazo hatukushirikishwa uandaaji wake! Na hatujapewa muda wa kuzifanyia uchunguzi sisi wenyewe! Usalama wa Afya za watanzania ni jukumu muhimu na la kwanza kwa wanaoitakia mema Tanzania
Uchunguzi gani?, wewe unao uwezo gani wa kuchunguza kitu usichoweza kujua hata jinsi kilivyotengenezwa?

We kaa mkao wa kupigwa chanjo ya wazungu tu. Ukipona hewala ukidhurika bahati mbaya, kwani ni vingi kutoka huko Ulaya tunatumia bila kuuliza.
 
Ukweli sina imani na hizo chanjo ambazo hatukushirikishwa uandaaji wake! Na hatujapewa muda wa kuzifanyia uchunguzi sisi wenyewe! Usalama wa Afya za watanzania ni jukumu muhimu na la kwanza kwa wanaoitakia mema Tanzania
Mkuu hivi ni kweli chanjo zote na madawa ambayo huwa tunatumia huwa tunashirikishwa uandaaji wake? Chanjo ngapi tunapatiwa na wazungu na tunatumia? ARVs, madawa mengine je? Hebu tuweni serious tuache mawazo ya kijinga. Mzungu akitaka kutuumiza wala hawezi kusubiri eti apitie kwenye chanjo ya korona
 
Ukweli sina imani na hizo chanjo ambazo hatukushirikishwa uandaaji wake! Na hatujapewa muda wa kuzifanyia uchunguzi sisi wenyewe! Usalama wa Afya za watanzania ni jukumu muhimu na la kwanza kwa wanaoitakia mema Tanzania
Niungane na wewe kwa kutokuiamini hiyo chanjo mpaka tuyaone matokeo yake.Bado tuko salama kwa uwezo wake ALLAH na tuendelee kutumia virutubisho vinavyojenga immune ya hao virus, maombi/ibada saana.Kwa Mwenyezimungu hakuna lishindikanalo
 
Ukweli sina imani na hizo chanjo ambazo hatukushirikishwa uandaaji wake! Na hatujapewa muda wa kuzifanyia uchunguzi sisi wenyewe! Usalama wa Afya za watanzania ni jukumu muhimu na la kwanza kwa wanaoitakia mema Tanzania
Hiyo Paracetamol, Cipro, erythromycin unauwezo wa kuzichunguza hata upewe miaka 20,

Ikiwa kwa mzungu imeshakuwa...wewe mwombe mungu iwe ya kifaa na isiwe feki.

Hataki unataka hiyo chanjo utagongwa...mwombe tu mungu atuepushe na side effect za hiyo chanjo
 
Hiyo paracetamol, Cipro, erythromycin unauwezo wa kuzichunguza hata upewe miaka 20,
Ikiwa kwa mzungu imeshakuwa...wewe mwombe mungu iwe ya kifaa na isiwe feki
Hataki unataka hiyo chanjo utagongwa...mwombe tu mungu atuepushe na side effect za hiyo chanjo
Eti hana imani kwa kuwa hakushirikishwa kwenye uaandaji wake.😁😁😁😁
 
ninachoamini mh Rais hatatuangusha kwenye hili...
 
Ukweli sina imani na hizo chanjo ambazo hatukushirikishwa uandaaji wake! Na hatujapewa muda wa kuzifanyia uchunguzi sisi wenyewe! Usalama wa Afya za watanzania ni jukumu muhimu na la kwanza kwa wanaoitakia mema Tanzania
Hiyo panadol unayotumia ulishirikishwa kuiandaa.
 
Ukweli sina imani na hizo chanjo ambazo hatukushirikishwa uandaaji wake! Na hatujapewa muda wa kuzifanyia uchunguzi sisi wenyewe! Usalama wa Afya za watanzania ni jukumu muhimu na la kwanza kwa wanaoitakia mema Tanzania
ARV mliwahi kuzifanyia uchunguzi wapi, au mlishirikishwa wapi uandaaji wake?

Lumumba imejaa wajinga.
 
Hiyo serikali iliyosema Tanzania hakuna Corona halafu wakaomba msaada wa kupambana na hiyo hiyo Corona hata siiamini wala kuielewa, huyo Waziri atakuja na tamko fulani la kujichanganya tu.
 
Ukweli sina imani na hizo chanjo ambazo hatukushirikishwa uandaaji wake! Na hatujapewa muda wa kuzifanyia uchunguzi sisi wenyewe! Usalama wa Afya za watanzania ni jukumu muhimu na la kwanza kwa wanaoitakia mema Tanzania
Mkuu hapa ni kujidanganya wenyewe.
Kama tumeshindwa kutengeneza yetu tutaweza kuichunguza ya watu wengine?
 
Ukweli sina imani na hizo chanjo ambazo hatukushirikishwa uandaaji wake! Na hatujapewa muda wa kuzifanyia uchunguzi sisi wenyewe! Usalama wa Afya za watanzania ni jukumu muhimu na la kwanza kwa wanaoitakia mema Tanzania
Kwani Tanzania ilishiriki kuandaa chanjo ipi?

Na WHO si ndio wenye mandate naambo ya afya?

Halafu Watanzania tunaongea na Mungu siku 3 Corona inakimbia chanjo ya nini?
 
Nasikia kuwa hii ndiyo New World Order inapoanzia, mtapigwa chapa ya chanjo. Wale waliopigwa chanjo mdiyo wataruhusiwa kuingia nchi za Ulaya na kupata huduma
 
Chanjo ya nini ilhali tuna dawa kabisa tuliyotumia fedha nyingi kununua na kufuata kwa ndege yetu wenyewe kutoka Madagascar na ikatestiwa na Waziri wetu wa majalalani na hakudhurika.
 
Uchunguzi gani??, wewe unao uwezo gani wa kuchunguza kitu usichoweza kujua hata jinsi kilivyotengenezwa??!!.

We kaa mkao wa kupigwa chanjo ya wazungu tu. Ukipona hewala ukidhurika bahati mbaya, kwani ni vingi kutoka huko Ulaya tunatumia bila kuuliza.
Nyie ndio aina ya wanaume ambao mkeo anaweza kuwa anagongwa nyumbani kwako tena kwenye kitanda chako na mabao yake anafutia taulo zako na mkeo anafua hayo mashuka na taulo kwenye mabeseni yako kwa kutumia sabuni yako na maji unayolipia bili kila mwezi. Na still akaja mtamblisha huyo mwanaume kuwa ni ndugu yake na utakubali.

Sasa wewe unahisi ni salama sisi kuletewa kitu kinachoitwa chanjo kwa ugonjwa ambao hauna madhara na sisi na ni ugonjwa ambao story zake ni za kuunga unga..... Hivi hiyo corona ingekuwepo na kwa namna inaambukiza sasa hivi bongo si kila nyumba tungekuwa tumefunga turubai....?!
 
Back
Top Bottom