King klax
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 4,307
- 2,754
Vifaa vyote unavyotumia ni vya mzungu,, sasa sijui unaimani nini!!!Ukweli sina imani na hizo chanjo ambazo hatukushirikishwa uandaaji wake! Na hatujapewa muda wa kuzifanyia uchunguzi sisi wenyewe! Usalama wa Afya za watanzania ni jukumu muhimu na la kwanza kwa wanaoitakia mema Tanzania
Dunia ni ya Mungu,, mali zote za mzungu