Serikali kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara iliyoonekana July 2022

Serikali kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara iliyoonekana July 2022

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
Tusubiri kusikia huo ufafanuzi ingawa watu wanataka pesa tu na sio ufafanuzi!
 

Attachments

  • IMG-20220722-WA0064.jpg
    IMG-20220722-WA0064.jpg
    15.3 KB · Views: 10
Labda ufafanuzi utatolewa may mosi mwakani. Unless waseme walikosea mahesabu na mwezi ujao watayaweka sawa.
 
Tusubiri kusikia huo ufafanuzi ingawa watu wanataka pesa tu na sio ufafanuzi!
Siasa kwenye maisha ya watu ni hatari sana. Sijuwi hata nani anashauri. Tuliuliza mna ajiri maelfu ya vijana na mnapandisha mishahara hiyo 25% mtaweza mkaona sisi niwale wale kumbe tunaipenda nchi yetu
 
"...wanachi ni wepesi kusahau, ukiwafanyia jambo leo hadi ifike 2025 wakati wa uchaguzi Wala hawakumbuki...." Mh SSH Rais wa JMT
 
Mtakua mmedakishwa buku mbili mbili yaani chichiemu kuwafanya nyie watoto wadogo
 
Back
Top Bottom