CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,781 Reaction score 6,139 Jul 22, 2022 #1 Tusubiri kusikia huo ufafanuzi ingawa watu wanataka pesa tu na sio ufafanuzi! Attachments IMG-20220722-WA0064.jpg 15.3 KB · Views: 10
M Mpuretamu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,376 Reaction score 2,285 Jul 22, 2022 #2 Labda ufafanuzi utatolewa may mosi mwakani. Unless waseme walikosea mahesabu na mwezi ujao watayaweka sawa.
Labda ufafanuzi utatolewa may mosi mwakani. Unless waseme walikosea mahesabu na mwezi ujao watayaweka sawa.
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 14,244 Reaction score 10,073 Jul 22, 2022 #3 Mpuretamu said: Labda ufafanuzi utatolewa may mosi mwakani. Unless waseme walikosea mahesabu na mwezi ujao watayaweka sawa. Click to expand... [emoji23]
Mpuretamu said: Labda ufafanuzi utatolewa may mosi mwakani. Unless waseme walikosea mahesabu na mwezi ujao watayaweka sawa. Click to expand... [emoji23]
T TumainiEl JF-Expert Member Joined Jan 13, 2010 Posts 6,782 Reaction score 12,716 Jul 22, 2022 #4 CK Allan said: Tusubiri kusikia huo ufafanuzi ingawa watu wanataka pesa tu na sio ufafanuzi! Click to expand... Siasa kwenye maisha ya watu ni hatari sana. Sijuwi hata nani anashauri. Tuliuliza mna ajiri maelfu ya vijana na mnapandisha mishahara hiyo 25% mtaweza mkaona sisi niwale wale kumbe tunaipenda nchi yetu
CK Allan said: Tusubiri kusikia huo ufafanuzi ingawa watu wanataka pesa tu na sio ufafanuzi! Click to expand... Siasa kwenye maisha ya watu ni hatari sana. Sijuwi hata nani anashauri. Tuliuliza mna ajiri maelfu ya vijana na mnapandisha mishahara hiyo 25% mtaweza mkaona sisi niwale wale kumbe tunaipenda nchi yetu
Ndebile JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 7,745 Reaction score 11,267 Jul 22, 2022 #5 "...wanachi ni wepesi kusahau, ukiwafanyia jambo leo hadi ifike 2025 wakati wa uchaguzi Wala hawakumbuki...." Mh SSH Rais wa JMT
"...wanachi ni wepesi kusahau, ukiwafanyia jambo leo hadi ifike 2025 wakati wa uchaguzi Wala hawakumbuki...." Mh SSH Rais wa JMT
C chotera JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 6,560 Reaction score 15,864 Jul 22, 2022 #6 Mtakua mmedakishwa buku mbili mbili yaani chichiemu kuwafanya nyie watoto wadogo