Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Bandari za Maziwa Nchini.

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafiri na Usafirishaji kwenye Bandari za Maziwa Nchini.

Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan kutumia zaidi ya shilingi bilioni 900 kwa ajili ya ujenzi, uboreshaji na ukarabati wa miundombinu mbalimbali ya usafiri na usafirishaji kwenye Bandari za Maziwa Nchini.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Mwakiposa Kihenzile wakati alipotembelea miradi ya maendeleo inayosimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na miradi inayotekelezwa na Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) katika Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma.
 

Attachments

  • 406311590_18397463797030793_6555555300857619989_n.jpg
    50.1 KB · Views: 6
  • 406275430_18397463851030793_3958921238898809998_n.jpg
    84.9 KB · Views: 6
  • 405958358_18397463788030793_748524694220553000_n.jpg
    26.7 KB · Views: 6
  • 406281640_18397463836030793_6206737328447175808_n.jpg
    42.6 KB · Views: 5
  • 406313667_18397463806030793_2483918346751813951_n.jpg
    34.9 KB · Views: 3

Baada ya hapo anakabidhiwa mwarabu bandari.

Ushauri tununue managment sio kubinafsisha bandari kwa wageni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…