Serikali Kuu ya JamiiForums

Serikali Kuu ya JamiiForums

Dada mimi nakubishana is where and where πŸ˜‚πŸ™† sijui kubishana sijui kuandika comment ndefu kama za Karma au zako

Wajumbe wa kamati ya burudani na michezo uko at least nikiwa sambamba na Saint anne πŸƒπŸƒ
Hahahaa.!!
Mdogo wangu Depal ukisema comment ndefu una refer ipii??
Kwanini lakini unanitafuta uchokozi?? Ama na wewe unataka kulinganisha vidole??
 
Mimi nakua TERRORIST la Taifa ndani ya Jf πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nitawatesa sna
 
Waacha wagawianeni vyeo lakin tumamua kuunda serikali kuu yetu hapa JF

Rais - Mheshimiwa Kiranga
Makamu wa Rais- Shunie
Waziri Mkuu- Pascal Mayalla
Msemaji wa Serikali Mwifwa
Waziri Wa nchi ofisi ya Rais- GuDume

Waziri wa Mipango na Fedha - BAK
Waziri Wa mambo ya nje Nyani Ngabu
Waziri Wa mambo ya ndani britanicca
Waziri Wa Kilimo jmushi1
Waziri Wa sayansi na teknolojia barafu

Waziri Wa ujenzi Daudi Mchambuzi

Waziri Wa habari Papa Mobimba

Waziri Wa sanaa jinsia na watoto manengelo

Waziri Wa utamaduni Sky Eclat

Waziri wa ulinzi na usalama Wa Taifa GENTAMYCINE
Waziri wa afya Mshana Jr
Spika Wa Bunge joanah

Naibu spika Karma

CAG Mzigua90

CDF Atoto

IGP Sakayo

Jaji Mkuu peter e mselewa
DGIS Baba Swalehe
Kambi rasmi ya Upinzani
Mkuu wake ni Kigogo2014

Msaidizi venchwa

Abinder seth Wa Taifa luambo makiadi

Au siyo

Tuheshimiane sana mkuu sijawahi kupinduliwa, CDF ni "ONE STAR GENERAL" KOZO OKAMOTO MJAPANI WA KIKURYA
 
Kwa hiyo unakubali kupewa cheo kisichokuwepo?nyie ndio mnaouza nchi.kuhusu kujulikana hilo wala halinisumbui maana hata nikijulikana humu sipati chochote mi nimemkumbusha tuu cheo ulichopewa hakipo ila kama unakubaliana nae kupewa cheo hewa hongera sana nikutakie kazi njema yako ya cheo hewa
Kisa tu kapewa / katajwa GENTAMYCINE. Waswahili bhana! Yaani Mleta Uzi kwa Utashi wake tu kaamua kuja na hiki Kitu lakini cha Kushangaza kuna Watu wengine Roho zinawauma kuona hawajatajwa popote au wamechukia kuwaona Watu ambao wanawachukia wametajwa. Jamani wengine tuna Nyota / Shani zetu na hadi unajulikana kuwa ni ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' jua ya kwamba britanicca hakukosea na alituliza hasa Akili zake. Na ukiona hutajwitajwi au hukumbukwi hukumbukwi JamiiForums jua bado hujawa na Umuhimu na Mvuto kwa ' Members ' wengi, hivyo nawe yakupasa ujibiidishe katika Ujengaji wako wa Hoja, Uwasilishaji wako na Michango yako mbalimbali iwe ni yenye Tija na Mvuto na siyo ya ' hovyo hovyo ' tupu.

Asante britanicca na natoa pongezi zangu nyingi na kubwa kwa Jeshi zima la Serikali ( Utawala ) lililotajwa hapa kwani ni zuri na limejaa Watu makini na ambao huwezi Kupinga uwepo wao na hata Uchangiaji wao wa Mada mbalibali hapa Jamvini hauna Mashaka na wala hawana ' Upopoma ' wowote ule. Ila na Wewe britanicca Siku zingine uwe unatusahau na usiwe unatutajataja bhana kwani unawaudhi Watu hapa. Naomba kama baadae itakupendeza basi uunde Serikali Kivuli na huyu wa stendi umpe Cheo cha Rais ili ' Presha ' yake ishuke na Yeye pia aridhike na ajione ana Umuhimu na Thamani hapa.

Mtanuna sana tu!
 
Kwa hiyo unakubali kupewa cheo kisichokuwepo?nyie ndio mnaouza nchi.kuhusu kujulikana hilo wala halinisumbui maana hata nikijulikana humu sipati chochote mi nimemkumbusha tuu cheo ulichopewa hakipo ila kama unakubaliana nae kupewa cheo hewa hongera sana nikutakie kazi njema yako ya cheo hewa

Naona Kutokutajwa Kumekuuma kweli kweli Wewe Boya. Pole sana na jitahidi uwe na Michango yenye Tija na Akili nyingi nawe Siku moja utakumbukwa tu. Wengine ID's zetu tayari zimeshakuwa ni ' Brand ' hapa Jamvini JamiiForums na ndiyo maana tunajulikana Kuanzia Ikulu, Idarani Kote ya Upanga hadi Oysterbay, Bungeni, Polisi, Mahakamani, sehemu za Burudani ( Kumbi za Muziki na Mipirani ) na bila Kusahau hadi Vyuoni ambako jina au ID ya GENTAMYCINE huwa inazungumzwa na Kujadiliwa mno. Hivi Mtu ukiwa ni ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' utaacha Kuzungumzwa na Kufuatiliwa 24/7 hapa?
 
Inawezekana hata DSM haujawahi fika uko huko mugumu vijijini unalima vinyungu
 
Waacha wagawianeni vyeo lakin tumamua kuunda serikali kuu yetu hapa JF

Rais - Mheshimiwa Kiranga
Makamu wa Rais- Shunie
Waziri Mkuu- Pascal Mayalla
Msemaji wa Serikali Mwifwa
Waziri Wa nchi ofisi ya Rais- GuDume

Waziri wa Mipango na Fedha - BAK
Waziri Wa mambo ya nje Nyani Ngabu
Waziri Wa mambo ya ndani britanicca
Waziri Wa Kilimo jmushi1
Waziri Wa sayansi na teknolojia barafu

Waziri Wa ujenzi Daudi Mchambuzi

Waziri Wa habari Papa Mobimba

Waziri Wa sanaa jinsia na watoto manengelo

Waziri Wa utamaduni Sky Eclat

Waziri wa ulinzi na usalama Wa Taifa GENTAMYCINE
Waziri wa afya Mshana Jr
Spika Wa Bunge joanah

Naibu spika Karma

CAG Mzigua90

CDF Atoto

IGP Sakayo

Jaji Mkuu peter e mselewa
DGIS Baba Swalehe
Kambi rasmi ya Upinzani
Mkuu wake ni Kigogo2014

Msaidizi venchwa

Abinder seth Wa Taifa luambo makiadi

Au siyo
Yaani Waziri unampa . GENTAMYCINE. Muondoe bila hivyo naondoa like yangu au umpe cheo cha polepole.
Tafadhali mpe cheo cha katibu mwenezi wa CCM
 
Back
Top Bottom