impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Tatizo fani yako haina cheo cha kitaifa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo fani yako haina cheo cha kitaifa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu hii ni serikali inayozingatia gender balance. Wakiwezeshwa wanawezaSasa hapo mkuu unataka nchi ikiingia kwenye machafuko tupigwe kipigo cha mmbwa koko..hao makamanda wako hao hapana..tengeua huo uteuzi..Wapeleke jinsia na watoto kule kuta wafaa
😂 😂 😂Nyuzi zako, ile mipangilio kuiamishia kwenye comments ni kazi nyepesi 😀😀🏃🏃
😂😂😂😂😂😂😂 😂 😂
Huwa nakuambia kila siku, usikimbie kwenye comments zako mdogo wangu, najikutaga nacheka unavyokimbia, halafu content naachana nayo!!
😂 😂 😂😂😂😂😂😂😂
Dah! Haya rudi kwenye content 🏃🏃🏃
Chenge wewewaziri wa ujanja ujanja na upigaji mjini..
nipo apa
Mkuu upewe idara mpya ya kuwabikiri mabinti inakufaa hiyo[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
hapo na sub department ya mapishi ya kiepeJamaa apewe
Waziri Wa uchumi
Hahahahapo na sub department ya mapishi ya kiepe
Mbona IGP mkuu, mejikuta nacheka tuu mimi jamani!!Waacha wagawianeni vyeo lakin tumamua kuunda serikali kuu yetu hapa JF
Rais - Mheshimiwa Kiranga
Makamu wa Rais- Shunie
Waziri Mkuu- Pascal Mayalla
Msemaji wa Serikali Mwifwa
Waziri Wa nchi ofisi ya Rais- GuDume
Waziri wa Mipango na Fedha - BAK
Waziri Wa mambo ya nje Nyani Ngabu
Waziri Wa mambo ya ndani britanicca
Waziri Wa Kilimo jmushi1
Waziri Wa sayansi na teknolojia barafu
Waziri Wa ujenzi Daudi Mchambuzi
Waziri Wa habari Papa Mobimba
Waziri Wa sanaa jinsia na watoto manengelo
Waziri Wa utamaduni Sky Eclat
Waziri wa ulinzi na usalama Wa Taifa GENTAMYCINE
Waziri wa afya Mshana Jr
Spika Wa Bunge joanah
Naibu spika Karma
CAG Mzigua90
CDF Atoto
IGP Sakayo
Jaji Mkuu peter e mselewa
DGIS Baba Swalehe
Kambi rasmi ya Upinzani
Mkuu wake ni Kigogo2014
Msaidizi venchwa
Abinder seth Wa Taifa luambo makiadi
Au siyo
Acha kunionea jamani...hamna kitengo kinachohusika na mapambio serikalini?!
😅 😅 😅 😅 😅Inawezekana hata DSM haujawahi fika uko huko mugumu vijijini unalima vinyungu
kipo. Tutakuweka huko awamu ijayoAcha kunionea jamani...hamna kitengo kinachohusika na mapambio serikalini?!
😂😂😂Inawezekana hata DSM haujawahi fika uko huko mugumu vijijini unalima vinyungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kipo. Tutakuweka huko awamu ijayo
Kuwa mvumilivu utapangiwa kazi ingine watu watatumbuliwa soon.Dah kwa hiyo mimi ni mwananchi tu, dah