Tetesi: Serikali kuunda tume ya kimahakama kuchunguza sintofahamu kuhusu utekaji na utesaji wa raia

mungu ibariki Tanzania
 
Hivi si bora kunyamaza tu....ndo nn hiki mtu mzima unaandika?
 
Ndizo anazoziita Lissu PROFESSORIAL RUBISH!!!
 
viongozi wetu wa ajabu sana sijui niyape majina gani. naskia hasira sana mimi
 
serikali hiihii au serikali inayokuja?
 
NAHISI HARUFU YA MALIWATO CHAFU YA SHIMO
 
Hizo ni mbinu tuu za kudanganyia kuwa serikali haijui kinachoendelea yaani inajitoa ili mataifa ya nche yasiishuku kama ndo inausika na kinachoendelea
 

Mazingira ya kilichomtokea yaanaacha mashaka mengi sana na kuleta hisia kuelekea upande fulani. Lissu alilalamika kufuatwa tangu Dar es Salaaam. Kabla ya hapo alilalamika hadharani mchane kweupe akitaja namba za gari lililokuwa linamfuatilia na kutaja majina fulani. Hakuna yeyote aliyeongea kukanusha kuhusika kwake. Hili linapotokea akiwaa kwenye mazingira hata ya bunge inaleta maswali mengi sana fikirishi. kwa mazingira ya tukio kwa kuangalia mlolongo wa matukio ni vigumu kulitoa tukio la mwisho kwa kuliangalia peke yake.
 
hahahahahah!!!!!!!! wanatuchora tu. wanafikiri sisi ni mabashite hatuelewi kinacho endelea
 

Na hili unalielezeaje msemaji wa chama????...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…