Serikali kuvifungulia vyombo vyote vya habari

Ungeyaweka kwa namba ingekuwa rahisi kucomment chief, maana kuna mengine mazuri ila mengine hayawezekani kabisa
 
Sasa warudishe ITV, Channel 10, StarTV, Clouds Tv kwenye ving'amuzi vya DSTV na vinginevyo, mambo yarudi kama tulivyo kuwa 2016 huu ulikua uduwanzi sana.
Ni zaidi ya Udwanzi, ni utahira uliopitiliza
 
Kufungiwa kwa
Mawio
Mwana halisi.
Tanzania Daima
Kulinifanya niichukie sana hii serikali ya ccm
 
Kufungiwa kwa
Mawio
Mwana halisi.
Tanzania Daima
Kulinifanya niichukie sana hii serikali ya ccm
Halafu waliacha lile gazeti la kichaa Musiba likiita watu mashoga! Sijui hata lilipotelea wapi lile gazeti
 
Halafu waliacha lile gazeti la kichaa Musiba likiita watu mashoga! Sijui hata lilipotelea wapi lile gazeti
Hahaha.nchi ina mambo ya hovyo sana hii yaani mwendazake alifikiri na kuja na conclusion kwamba musiba ndo amwingize ikulu????
Ati alipewa mpaka TISS Wamlinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…