Serikali kuwabana zaidi waagizaji Magari yaliyotumika ili kulinda uzalishaji wa ndani

Unadhani kwanini mtu anaweka Kiwanda chake (production / assembly) nchi fulani ?

Sababu kuna soko kubwa nchini humo au sababu uzalishaji ni bei ndogo (cost of production) ?

Au huu ni muendelezo wa Politics na Politicking by the way hao Mahindra gari zao ni zipi na market share yao duniani ipo vipi na watu wanapenda vipi magari yao (kama kweli wangekuwa na dhamira ya ukweli wangeanza wao kununua hizo gari za hao jamaa badala ya Toyota)
 
Kampuni hii inakuja Tanzania kuunganisha vipande "parts" vya magari yao. Hawa wanatafuta soko la magari yao , watanzania tutaadhilika kwa kulazimishwa kununua magari hayo ambayo kiwango chake cha ubora kinaweza kisiwe sawa hata na cha magari ambayo yametumika kutoka Japan.
 
Tumesharuhusu soko huria, iweje umpangie mtu asiagize gari ya kijapan na ulazimishe anunue bajaj ya kanjibhai kisa ni mpya. Gari used za mjapan hata za miaka kumi zina ubora mkubwa na watu wana mudu kuzinunua......huyo waziri kama kala rushwa ili atunge sera ya kulinda uwekezaji wa kanjibhai ajue watu tunamwangalia.​
 
Wacha wazuie tu hii ishu yakuletewa mataka taka kunaambiwa ni magari sasa ikome
gar imetengenezwa 2000/2008 gar ambayo ata kwenye mzunguko uko ishatolewa gar ambayo ishatolewa ad sokoni leo hii unakuja kuwaletea wabongo watumie

Juz nmeingia kwa yard moja ya magari nakutana na crown imetembea kilometa 300 afu inauzwa yard ingerikua Land Cruiser sawa kwa izo kilomota ila sio toyota crown

Waache wayazuie bana km hatuwezi kununua magari mazur na mapya ni bora tutembee kwa miguu au tupande boda
 
Magari yenyewe mazee afu bado wauzaji wanatuuzia kwa bei za juu
Wacha mahindra afanye kaz na kwa sifa ya mahindra gar zao hua ni bei ndogo na affordable na imara
 
Nafikiri hii sera ni maalumu kuwakomoa walimu,sasa mwalimu anaweza kununua gari jipya kweli
Mbona umewalenga mwalimu ambao nchi hii hawafiki hata 600K. Mbona hata hali za watumishi wa kada zingine ni kizungumkuti tu. Hata hawa wafanya biashara ni wachache sana anaweza agiza gari mpya.
 
Serikali ina mpango mzuri!
Inataka wananchi wake watumie Punda kusafiri, ili kuokoa maisha yao kutokana na ajari.
Wamefanya utafiti kwa kumtuama kiongozi fulani wa CHAMA, ili wajue ni usafiri upi unafaa kwa wananchi masikini.
Alianza na bodaboda, akapeleka mrejesho.
Akaja na baiskeli, akapeleka mrejesho.
Mara akaonekana ana drive Punda, imeonekana inafaa sana.
 
Tatizo sio kuzalisha magari, ila ubora wa hayo magari... Kiuhalisia kama watatengeneza magari yenye ubora then why tusinunue?!! It is possible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…