Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaweza nunua gari zao ?kwa nini wasiwaambie toyota, suzuki na german auto-manufacturers kama volswagen aje kuweka assembly plant hapa badala ya mahindra?
zitakuwepo sera rafiki kuweza kuzinunua hizo gari. Mbona South Africa imewezekana?Mtaweza nunua gari zao ?
South Africa walifanya sera gani ? Ambazo ziliwesha wananchi kununua magari mapya na sio used carszitakuwepo sera rafiki kuweza kuzinunua hizo gari. Mbona South Africa imewezekana?
Ndo maana mimi naikubali sana ZambiaHii nchi bwana. Asilimia kubwa ya wafanyakazi wa serikali ni waalim ambao imeshindwa kuwalipa pesa ambayo inawawezesha kununua gari mpya.
Hata viinua mgongo vyao wengi wakipewa haviwezi nunua brand new car.
Halafu wanatunga sera ya kuzuia magari used.
Unajiuliza lengo ni kwamba watu wasimiliki magari au
Mfano mzuri tu ziangalie hizo eicher zaoMagari ya mhindi hamna kitu...
Ni heri kununua Toyota RAV4 ya mwaka 1998 kuliko kununua Mahindra mpya isiyo na shape ya shoo wala ubora wa kiwango cha Toyota..
Tunataka Toyota, Honda, Nissan, Pajero, Suzuki, Mercedes Benz, Peugeot, Ford wajenge viwanda vyao hapa na hapo ndipo mje na hiyo sera yenu ya ajabu...
Gari za muhindi kiongoziBillion 10 kiwanda Cha magari Cha aina gani hicho?Hata R&D hio pesa haitoshi.
Dunia inahamia kwenye electric vehicles, kampuni nyingi za magari duniani zimetangaza kufikia 2030 wanaacha kabisa kutoa hizi combustion engines, engine zinazotumia mafuta, China sasa hivi inatoa gari za umeme kwa kasi ya ajabu, sasa hizo mahindra za cc 800 ni kituko tu.Mkuu mtanunua tu mahindra mpya ina cc 800 ukubwa wa duet na itauzwa kati ya mil 5 hadi 6 .milage 0
Lakini ni gari nzuri kama Jeep muundo wakeMahindra tayari wamekuja kuokoa jahazi!
mkuu mpaka leo huku tunatamba na harrier za 2004 ukiwa na ya 2010 tunasimama ukiingia baa.sisi hayo ya umeme ni after 40 yrsDunia inahamia kwenye electric vehicles, kampuni nyingi za magari duniani zimetangaza kufikia 2030 wanaacha kabisa kutoa hizi combustion engines, engine zinazotumia mafuta, China sasa hivi inatoa gari za umeme kwa kasi ya ajabu, sasa hizo mahindra za cc 800 ni kituko tu.