Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 1,194 Reaction score 911 May 12, 2026 #1 Bima ya Afya kwa Wote kugharimu shilingi 150,000 kwa kaya (watu sita). Wasio na uwezo (wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu) watagharamiwa na serikali.
Bima ya Afya kwa Wote kugharimu shilingi 150,000 kwa kaya (watu sita). Wasio na uwezo (wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu) watagharamiwa na serikali.
Ngwathra Platinum Member Joined Jul 11, 2007 Posts 7,258 Reaction score 14,942 May 12, 2026 #2 Ni habari mpya hii? Nimeanza kuisikia mwaka 1982, na hii michoro ya Juma na Roza ya darasa la pili
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 May 12, 2026 #3 Tofauti na hii?
Ubaya Ubwela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 3,014 Reaction score 7,343 May 12, 2026 #4 Porojo tu hamna kitu hapo
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 51,453 Reaction score 41,274 May 12, 2026 #5 Zack Abdul said: Bima ya Afya kwa Wote kugharimu shilingi 150,000 kwa kaya (watu sita). Wasio na uwezo (wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu) watagharamiwa na serikali.View attachment 3587377 Click to expand... Kazi na utu, tusonge mbele pamoja 🤝
Zack Abdul said: Bima ya Afya kwa Wote kugharimu shilingi 150,000 kwa kaya (watu sita). Wasio na uwezo (wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu) watagharamiwa na serikali.View attachment 3587377 Click to expand... Kazi na utu, tusonge mbele pamoja 🤝
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,227 Reaction score 98,761 May 12, 2026 #6 Mipango ya serikali kwenye "HANSADI" au kwenye MALOKA Wizarani ni mizuri sana ila fika FIELD ukajione NGONDOIGWA ,zilongwa mbali zitendwa mbali.
Mipango ya serikali kwenye "HANSADI" au kwenye MALOKA Wizarani ni mizuri sana ila fika FIELD ukajione NGONDOIGWA ,zilongwa mbali zitendwa mbali.