THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Friends and Enemies,
Kuna msemo unasema kwamba kumrushia jiwe kila mbwa anayebweka barabaran huwezi kufika safari yako,
Vipo vitu vya msingi vya kulumbana na Serikali,kama hivi ongezeko la gharama za tozo za miamala, kupanda mafuta na gesi,labda Tume Huru ya Uchaguzi na kadhalika.
Lakini kukaa na kulumbana kwa ishu ya chanjo ya Corona na ili hali ni ishu ambayo umeshaelezwa kuwa ni hiyari na siyo lazima ni wendawazimu wa hali ya juu sana.
Polepole na Gwajima ni machawa wa mwendazake hakuna asiejua, kubweka wanakobweka kuhusu suala la chanjo ya Corona ni kuonesha kiwango chao cha ujinga na ukaidi usiyo na maana.
Hawajalazimishwa kuchanjwa, sasa kelele za nini?