Serikali kuwajibu Askofu Gwajima na Polepole ni kama kubwekea kila mbwa barabarani

Serikali kuwajibu Askofu Gwajima na Polepole ni kama kubwekea kila mbwa barabarani

Kuna vitu viwili,kutoa msimamo wa kutochanja,na kuhamasisha watu wasichanje,chanjo hii dunia yote ni hiyar siyo lazima,sasa kama wataalam wa afya wameshasimama na kuwapa elimu wananchi kuhusu umuhim wa chanjo Ili kuokoa maisha ya watu,wao kwann wasimame kupinga?
Lakini ukipata madhara usiiulize hiyo serikali inayosema chanjo ni hiari
 
Wewe ni mkristu? Kama sio mkristu mahubiri ya kanisani kwake yanakushughulisha vipi wakati ni suala la kiroho linaloishia madhabahuni kwake? Hajawahi kuitisha press kusema hayo bali ni sehemu ya ufunuo anaoutoa kwa waamini wake

Mimi siyo mkiristo mkuu,

Sasa gwajima kanisani anahubiri au anatoa elimu yuu ya Corona??

Yeye ni mchungaji au daktar
 
Hajapinga chanjo, amesema yeye hachanjwi, na wala hajazuia mtu ukiwemo wewe na Mimi kuchanjwa! Heshimu upande aliyochagua brother!

Hajasema kuwa yeye hachanji,anahamasisha watu wasichanje

Kama angekuwa anasema kuwa yeye hachanji nan angehangaika na yeye?
 
Back
Top Bottom