Kuna vitu viwili,kutoa msimamo wa kutochanja,na kuhamasisha watu wasichanje,chanjo hii dunia yote ni hiyar siyo lazima,sasa kama wataalam wa afya wameshasimama na kuwapa elimu wananchi kuhusu umuhim wa chanjo Ili kuokoa maisha ya watu,wao kwann wasimame kupinga?