Wananchi wengi hasa vijana wamepokea kwa huzuni taarifa ya serikali kuanza msako mkali dhidi ya websites zinazotoa movie, series na mechi za mpira bure kama Goojara na nyinginezo. Serikali inasema hatua hiyo inalenga kupambana na piracy na kulinda sekta ya ubunifu nchini.
Lakini kwa mwananchi wa kawaida anayepambana na gharama ya maisha kila siku, entertainment za bure ndio zimekuwa njia pekee ya kupunguza stress baada ya kazi ngumu. Wengi hawawezi kumudu kulipia Netflix, Showmax ama DStv kutokana na kupanda kwa bei ya chakula, mafuta na nyumba.
“Sai hata kuwatch ball ama movie lazima ulipie kila kitu. Mwananchi wa kawaida ataishi aje?” baadhi ya Wakenya wamehoji mtandaoni.
Wengine wanasema badala ya kufunga platforms hizo, serikali ingeangalia namna ya kufanya huduma rasmi ziwe affordable kwa vijana na families za kipato cha chini.
Je, vita dhidi ya piracy inalinda wasanii ama inaongeza mzigo kwa mwananchi?