Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Safi sanaTatizo lako u aandika unavyotaka wewe ueleweke, lakini hakuna mtu amesema kuwa Coronavirus vimeisha Tanzania. Tuliyo yasikia wengi ni kwamba Covid-19 ipo na tuchukue tahadhari ambazo zimetolewa na wizara ya Afya.
Hiyo haitufanyi sisi tukakosa kufanya shughuli zetu za kujipatia kipato kama kawaida yetu.
Covid-19 bado ipo ila zile hofu ambazo WTO na wengineo walitutabiria kuwa tutaokota mizoga ya ndugu zetu barabarani a kwamba hospitali zetu zitaelemewa, hiyo haipo na haitakuwa kuwepo.
Tatizo hapa wenzetu wanatungumzia hali yetu wakati maisha yetu hawayajui.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa no tatenga mda kwa ajili ya hiloVya wahenga vizuri mkuu.Tafuta hicho kitabu ukisome ujue wahenga tulivyofaidi. Nikiwa mtoto wa level ya darasa la nne, kilinipa uelewa wa mambo mengi sana hadi walimu walinishangaa kwa maswali niliyokuwa nawauliza.
Kwahiyo JPM akiwa Jesus waziri mkuu atakua nani? Peter au ?Mbona JESUS alisema wapo wagonjwa wanne tu? Waziri Mkuu asitutafute maneno ngoja tusuburi ripoti ya Jesus mwenyewe hawa Mitume hatuwaamini Tena.
RelaxHui ujinga sasa kwahiyo shule hawatafungua maana ndipo wanapoendea sasa, watubafilishie taaluma tulosoma uwalimu haiwezekani wengine wanaApply kazi nk sisi tumekaa tu ujinga huu.
Ukweli ni kuwa hakuna aliyeamini covod-19 imeondoka. Wengi hatukuweza kusema ipo kwa usalama wetu!! Viongozi wa nchi ni waongo na wapotoshaji!
Tujilinde!!
Mhhh......yetu machoBila hao kuugua wasingetangaza