Serikali kwanini mnalazimisha vijana kidato cha nne kwenda vyuo vya kati?

Serikali kwanini mnalazimisha vijana kidato cha nne kwenda vyuo vya kati?

Hilo la watanzania wajifunze kusomesha watoto wao linatoka wapi ? Sisi tuliambiwa tufyatue watoto, serikali itawasomesha.

Kazi tuliyotumwa tumeimaliza, ni wakati serikali ihangaike na hao watoto
Wewe endelea kufuatua mwendazake kasha ondoka na sera zake mbovu
 
Wewe endelea kufuatua mwendazake kasha ondoka na sera zake mbovu
Kwa hiyo mmeamua kupindua matokeo au hela hamna?
Maana kwa hii ya seikali kwenda kuchuuza mahindi kule kibaigwa ili ipate dola siyo ishara nzuri.
 
Kaka naomba umuache Mama angu Mh.@Angellah_kairuki kabisa, huyu Mama ana roho ya kipekee sana Tena muache kama alivyo, Kila kitu kinahitaji muda kuwa sawa. Upe muda wakati.. sio kulalamika tu, njoo na njia za kutatuta tatizo.. mfano hao wanaoenda vyuo vya kati ni namna gani waweze kusaidiwa ishu ya Ada .. kulalama tu haitoshi.. narudia Tena Muache huyo Mama kama alivyo, Watoto wa Wanyonge wanamtegemea sana.
Serikali subsidize ada kwa sababu wanawapeleka watoto kwa lazima.
 
Kaka naomba umuache Mama angu Mh.@Angellah_kairuki kabisa, huyu Mama ana roho ya kipekee sana Tena muache kama alivyo, Kila kitu kinahitaji muda kuwa sawa. Upe muda wakati.. sio kulalamika tu, njoo na njia za kutatuta tatizo.. mfano hao wanaoenda vyuo vya kati ni namna gani waweze kusaidiwa ishu ya Ada .. kulalama tu haitoshi.. narudia Tena Muache huyo Mama kama alivyo, Watoto wa Wanyonge wanamtegemea sana.
Tahila kweli wewe
 
Tahila kweli wewe
Asante sana Mkuu we ndo una akili sana kuzidi wengine, ila utambue hata wewe hujakamilika Mkuu, Huyu Mama amenipa ajira baada ya kutemwa na mawaziri kibao huko nyuma sababu ya kukosa Mchongo. Hakutaka ukabila wala upendeleo, kasimamia haki na najua ana nia njema sana na Vijana, mdogo wangu kapata div 1 ya point 8 amepangiwa course ya Udaktari wa Mifupa, alichagua mwenyewe, hatuna pesa ya kumsomesha ila Tumeona ni nafuu kuliko kwenda kubet form 5 and 6,so tutapambana mpka kieleweke. Kwenye ishu ya kijumuia si kila jambo litaenda sawa Mkuu, usiwe mwepesi wa kukosoa na kutukana, nobody or nothing is perfect mzee. Kalaghabaho!
 
Kuna dogo langu kapata div 1 ya 14 kapangwa nursing, ana A za kutosha na kabalance, hapo unasemaje?
Analia kama mtoto
hiyo inatokea tu.

Huwa chuo kinatuma taarifa kwamba wangependa mtoto fulani ajiunge na chuo hicho kusomea kozi fulani,ila sio kwamba anakuwa amechaguliwa.

KUna dogo wangu mmoja yaliwahi kumtokea hayo baada ya kutoka majibu tu,ila zilipotoka selection za form 5 alichaguliwa kwenda A level
 
Back
Top Bottom