Wewe endelea kufuatua mwendazake kasha ondoka na sera zake mbovuHilo la watanzania wajifunze kusomesha watoto wao linatoka wapi ? Sisi tuliambiwa tufyatue watoto, serikali itawasomesha.
Kazi tuliyotumwa tumeimaliza, ni wakati serikali ihangaike na hao watoto
Kwa hiyo mmeamua kupindua matokeo au hela hamna?Wewe endelea kufuatua mwendazake kasha ondoka na sera zake mbovu
E natoa ushaur unaniambia wakishua tena yes me kwetu wakishua kweliKwakuwa wewe wakishua mambo safi
Nursing and midwifery, diploma.Nursing bachelor sio?
Form four aende Bachelor ?Nursing bachelor sio?
Serikali subsidize ada kwa sababu wanawapeleka watoto kwa lazima.Kaka naomba umuache Mama angu Mh.@Angellah_kairuki kabisa, huyu Mama ana roho ya kipekee sana Tena muache kama alivyo, Kila kitu kinahitaji muda kuwa sawa. Upe muda wakati.. sio kulalamika tu, njoo na njia za kutatuta tatizo.. mfano hao wanaoenda vyuo vya kati ni namna gani waweze kusaidiwa ishu ya Ada .. kulalama tu haitoshi.. narudia Tena Muache huyo Mama kama alivyo, Watoto wa Wanyonge wanamtegemea sana.
wanataka bure tu, jamani bure bure ameondoka zake sasa yuko pesa pesa punguzeni malalamikoHivi Nondo kila kitu ni kulalamika? watoto si walipewa nafasi tatu wachague, mtu hajabalance kombi amepewa msaada bado analalamika?
Tahila kweli weweKaka naomba umuache Mama angu Mh.@Angellah_kairuki kabisa, huyu Mama ana roho ya kipekee sana Tena muache kama alivyo, Kila kitu kinahitaji muda kuwa sawa. Upe muda wakati.. sio kulalamika tu, njoo na njia za kutatuta tatizo.. mfano hao wanaoenda vyuo vya kati ni namna gani waweze kusaidiwa ishu ya Ada .. kulalama tu haitoshi.. narudia Tena Muache huyo Mama kama alivyo, Watoto wa Wanyonge wanamtegemea sana.
Asante sana Mkuu we ndo una akili sana kuzidi wengine, ila utambue hata wewe hujakamilika Mkuu, Huyu Mama amenipa ajira baada ya kutemwa na mawaziri kibao huko nyuma sababu ya kukosa Mchongo. Hakutaka ukabila wala upendeleo, kasimamia haki na najua ana nia njema sana na Vijana, mdogo wangu kapata div 1 ya point 8 amepangiwa course ya Udaktari wa Mifupa, alichagua mwenyewe, hatuna pesa ya kumsomesha ila Tumeona ni nafuu kuliko kwenda kubet form 5 and 6,so tutapambana mpka kieleweke. Kwenye ishu ya kijumuia si kila jambo litaenda sawa Mkuu, usiwe mwepesi wa kukosoa na kutukana, nobody or nothing is perfect mzee. Kalaghabaho!Tahila kweli wewe
hiyo inatokea tu.Kuna dogo langu kapata div 1 ya 14 kapangwa nursing, ana A za kutosha na kabalance, hapo unasemaje?
Analia kama mtoto