Serikali kwanini wahitimu wa bachelor of arts with education wasiwe mawakala wa ttcl na airtel nchi nzima wakati wakingoja fursa

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Najua vijijini na kwenye kata hakuna mawakala wa ttcl na airtel, kwanini msiwaajili walimu hawa wanaojua customer service vizuri wakawa mawakala kwa kuwapa mafunzo kidogo ya kutatua matatizo ya mtandao. Mh Dr. Jakaya Kikwete aliwahi sema 'degree yeyote mtu anaajiliwa kazi yeyote kutoa sheria na udaktari'bahati mbaya sina idadi tangu 2010 mpaka sasa wapo wanafunzi wangapi.
 
Sasa wauze line hizi za vifurushi vya wizi, na wataifanya hiyo kazi kwa mshahara gani?!
 
Najua vijijini na kwenye kata hakuna mawakala wa ttcl na airtel, kwanini msiwaajili walimu hawa wanaojua customer service vizuri wakawa mawakala kwa kuwapa mafunzo kidogo ya kutatua matatizo ya mtandao. Mh Dr. Jakaya Kikwete aliwahi sema 'degree yeyote mtu anaajiliwa kazi yeyote kutoa sheria na udaktari'bahati mbaya sina idadi tangu 2010 mpaka sasa wapo wanafunzi wangapi.
Sasa Kama degree ni yoyote inaeeza kufanya kazi yoyote ukitoa sheria na udaktari "kitu ambacho si kweli",kwann we umespecify hao wa arts with education? Kwann usisieme mhutimu yoyote afnye hizo kazi?
 
Hii ni ngumi jiwe uliyoachia aisee
 
Najua vijijini na kwenye kata hakuna mawakala wa ttcl na airtel, kwanini msiwaajili walimu hawa wanaojua customer service vizuri wakawa mawakala kwa kuwapa mafunzo kidogo ya kutatua matatizo ya mtandao. Mh Dr. Jakaya Kikwete aliwahi sema 'degree yeyote mtu anaajiliwa kazi yeyote kutoa sheria na udaktari'bahati mbaya sina idadi tangu 2010 mpaka sasa wapo wanafunzi wangapi.
Labda sijaelewa vizuri hapo

Kwani ajira za mawakala wa airtel na ttcl zinatolewa moja kwa moja na serikali au ni kampuni zenyewe ndio zinaajiri mawakala locally?
 
Back
Top Bottom