FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Sasa Kama degree ni yoyote inaeeza kufanya kazi yoyote ukitoa sheria na udaktari "kitu ambacho si kweli",kwann we umespecify hao wa arts with education? Kwann usisieme mhutimu yoyote afnye hizo kazi?Najua vijijini na kwenye kata hakuna mawakala wa ttcl na airtel, kwanini msiwaajili walimu hawa wanaojua customer service vizuri wakawa mawakala kwa kuwapa mafunzo kidogo ya kutatua matatizo ya mtandao. Mh Dr. Jakaya Kikwete aliwahi sema 'degree yeyote mtu anaajiliwa kazi yeyote kutoa sheria na udaktari'bahati mbaya sina idadi tangu 2010 mpaka sasa wapo wanafunzi wangapi.
Hii ni ngumi jiwe uliyoachia aiseeSasa Kama degree ni yoyote inaeeza kufanya kazi yoyote ukitoa sheria na udaktari "kitu ambacho si kweli",kwann we umespecify hao wa arts with education? Kwann usisieme mhutimu yoyote afnye hizo kazi?
Labda sijaelewa vizuri hapoNajua vijijini na kwenye kata hakuna mawakala wa ttcl na airtel, kwanini msiwaajili walimu hawa wanaojua customer service vizuri wakawa mawakala kwa kuwapa mafunzo kidogo ya kutatua matatizo ya mtandao. Mh Dr. Jakaya Kikwete aliwahi sema 'degree yeyote mtu anaajiliwa kazi yeyote kutoa sheria na udaktari'bahati mbaya sina idadi tangu 2010 mpaka sasa wapo wanafunzi wangapi.