chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Hawana hofu kwa kuwa wanahisi bado vijana na wenye afya tele, ni kweli ila mnawapelekea wenye afya mgogoro na wazee ambao bado walikuwa na wakati wa kuishi, hivyo mnakatisha maisha yao, pamoja na maneno yenu yasio na huruma kuwa siku zake zimefika, au kufa lazima angekufa tu hata kwa sababu nyingine!