chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Wana wabunge wa jinsia moja tu!Bwashee kwani chadema wana nini cha mno kutuzidi sisi makapuku wengine?
Maybe so maybe not - 3% ni ndogo sana ikiwa haumo au ndugu yako hayumo kwenye takwimu hiyo.Covid sio ugonjwa hatari, umekuwa overated, nimeugua huu ugonjwa mara 2 na sasa nahisi naumwa corona nasubiria tu harufu ikate nianze dose. Mara zote 2 sikunywa dawa yyt na nimepona. Death rate ni asilimia 3 ya waathirika wote hivo 3% ni ndogo sanaView attachment 1714198
Huyu Mungu anayewalinda na kuwaponya Watanzania tu akiacha dunia ikiteketea pamoja na Italia kwa Mwakilishi wake namba 1 Baba Mtakatifu ni Mungu kweli au ni mmoja wa miungu ambayo imekuwa ikijitokeza mara kwa mara toka dunia iumbwe?Hivi mpaka leo Kuna watu wanaamin barakoa zinasaidia eeh
Me nawashaur tu ikiwezekana hameni nchi nenden huko wanakoo vaa hizo barakoa na hawana misongamano...
Watu wameaminishwa na wakaamini kuwa maombi yameiondoa corona. Na viongozi kuendelea kukusanya watu kwenye mikutano ya kisiasa ni mwendelezo wa aminisho hilo.Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua...
Kiwango cha uelewa kinakuwa sambamba na elimu mhusika. Kiwango cha wastani wa elimu Tanzania ni chini ya std 7, usitarajie maajabu.Ila watanzania tunastahili lawama kwa kiwango cha juu sana, haiwezekani pamoja na taarifa zote kuhusu Corona zinazosambaa kwenye mitandao na vyombo vingine vya habari japo huko wanaita "nimonia", bado kuna watu hawachukui tahadhari mpaka leo....
Nani hao?Nimeona mpaka wanotwit kumlaumu Namba Moja nao wamekusanyika kwenye hilo Marasoni...
Kule Marekani BML na PB waliandamana pamoja na kuwa na Covid,kamawao wanaweza kwanini sisi tusiweze?acheni ujinga.Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua...
Kwani mbona Maalim seifu watu wanajua kafa kwa corona na hata huku mitaani watu wanajua kama corona ipo na ndio maana baadhi huvaa barakoa wakati mwaka jana waliacha kuvaa,kwahiyo sio kwamba watu wameaminishwa hakuna corona bali nachokiona mimi ni kwamba watu hawaoni athari za huu ugonjwa hawaoni kilichobadilika na ndio maana hawana hofu wanaendelea na maisha kama zamani.Watu wameaminishwa na wakaamini kuwa maombi yameiondoa corona. Na viongozi kuendelea kukusanya watu kwenye mikutano ya kisiasa ni mwendelezo wa aminisho hilo.
Namuona RC Anna Mghwira hapo, this means serikali imeridhia usambaaji huo wa ugonjwa. This is the ultimate level of stupidity.Ila watanzania tunastahili lawama kwa kiwango cha juu sana, haiwezekani pamoja na taarifa zote kuhusu Corona zinazosambaa kwenye mitandao na vyombo vingine vya habari japo huko wanaita "nimonia", bado kuna watu hawachukui tahadhari mpaka leo...
Joni bana [emoji1787][emoji1787]Watanzania ni wabishi sana!
Halafu kuna kajamaa kana bendera ya Chadema.
Huu ndio ukweli.Huu ni uthibitisho kuwa hakuna corona kivile!! Viwanja vya mpira vinajaa kila weekend!! Kwenye dala dala hakuna cha siti levo! Sokoni ndio usiseme!! Mashuleni, vyuoni!! Kama tungekuwa na corona yenyewe, ndani ya wiki moja pasingekalika!! Vifo havifichiki!! Vifo tunavyoshuhudia ni vya kawaida. Hakuna muda wowote usiokuwa na vifo!
Huwezi kukimbia huku umevaa barakoa,utakufa fasta.Katika mazingira kama haya, serikali inaruhusuje mikusanyiko kama hii?
Wao wasipoathirika, watabeba virusi na kuja kuambukiza wazee na watoto ambao nao wataenda kuambukiza family members na community zao mitaani.huwezi kukimbia huku umevaa barakoa, utakufa fasta...
Tutabakia kuwa wakutazamwa kama migrating beasts wa SerengetiWatu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua...