A
Anonymous
Guest
Habari zenu mabibi na mabwana,
Naiomba serikali kupitia vitengo vyake vya kusimamia majengo nchini kulifungia haraka sana hilo jengo linahatarisha maisha ya mwanaadamu.
Jengo la ghorofa 8 ni mwaka wa 5 sasaivi lifti yake haifanyi kazi sisi kama wapangaji tunapata tabu sana.
Nijuavyo mimi jengo lenye kuzidi gorofa 4 ni lazima liwe na lifti ila hili jengo la Mwalimu House lifti yake haifanyi kazi,je mapato yapatikanayo hapo yanaenda wapi.
Jambo la Pili jengo la walimu (Mwalimu House) vyoo vyake vyote ni vichafu sana watu wa afya wilaya/halmashauri ya jiji Ilala nendeni mkakague ni vyoo ambavyo ni vichafu kuzidi vyoo vya kwenye mabaa hapa Ilala.
Jioneeni picha jinsi vyoo vya Jengo la walimu nchini lilivyo