KERO Serikali lifungieni jengo la Walimu(Mwalimu House) halikidhi viwango. Vyoo vyote vibovu, Lifti haifanyi kazi mwaka wa 5 huu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari zenu mabibi na mabwana,

Naiomba serikali kupitia vitengo vyake vya kusimamia majengo nchini kulifungia haraka sana hilo jengo linahatarisha maisha ya mwanaadamu.

Jengo la ghorofa 8 ni mwaka wa 5 sasaivi lifti yake haifanyi kazi sisi kama wapangaji tunapata tabu sana.

Nijuavyo mimi jengo lenye kuzidi gorofa 4 ni lazima liwe na lifti ila hili jengo la Mwalimu House lifti yake haifanyi kazi,je mapato yapatikanayo hapo yanaenda wapi.

Jambo la Pili jengo la walimu (Mwalimu House) vyoo vyake vyote ni vichafu sana watu wa afya wilaya/halmashauri ya jiji Ilala nendeni mkakague ni vyoo ambavyo ni vichafu kuzidi vyoo vya kwenye mabaa hapa Ilala.

Jioneeni picha jinsi vyoo vya Jengo la walimu nchini lilivyo

 
Jana nilipita hapo nikaona yale maandishi makubwa yanasomeka

"HAMA C A WAALIMU TANZANIA"

Maandishi mengine yameanguka,kichwani nikaanza kuwaza,hivi mwaalimu anategemea haki na mikakati kutoka kwenye taasisi ambayo hata haijui kama maandishi ya jengo lake hayapo sawa???nusu nipige picha sema niliyekuwa naye kwenye dala dala angenijua.

Hii nchi ina mafala sana ktk ofisi za uma.
 
Maofisi mengi yamehama sasa hivi hapo kuna maofisi ya madalali na matapeli.
CWT hilo ndio eneo lao la kipigia kodi kwa kuweka kilemba kwenye kodi zilipwazo.
Kulikuwa na Baraza la ARdhi la Kata chini ya mkwe wa Magiufuli Bi. Bigambo ila imewalazimu kuhamia Wizara ya ARdhi pale Kivukoni.
Walimu wamebaki kuchapisha mafulana na kugawa tuzo kwa watesi wa wanyonge.
 
NILIONA BANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…