Serikali lipeni mshahara wangu wa Machi

Si uache kazi sasa.
 
Watu wanamastrago yamaisha hatariii na wako kimyaa wanafaiti.
Wewe wiki tuu hujalipwa unaleta matangazo moob!! Acha ushamba pambana na maisha kivyako usthadithie viujinga vyako
 
Kwahiyo nikiwaburuza court naweza kupata sh ngapi?
Mkuu kwenye kitu ambacho hutakiwi kufumbia macho ni hilo la maslahi mimi boss wangu tulizunguana kwasababu ya OC wewe mshahara na unakaa kimya kama wanataka sheria kweli mbona hela za likizo hawalipi kwa wakati watu wanaenda likizo bila malipo mimi ukitumia sheria basi utumie kote kote sio watumie kukandamiza watumishi kuna madai mengi ya watumishi hayafanyiwi kazi mtafute kibatala mkuu.
 
Hiyo PEPMIS umeongelea kana kwamba kila mtu anaifahamu. Ndio kitu gani hicho?

BTW Hongera kwa kujaza hiyo fomu ya PEPMIS.
 
Watanzania wengi hamjui sheria na ndio maana kila siku mnaonewa hakuna kipengele chochote kinachosema mtumishi akishindwa kujaza pepmis akatwe mshahara yaani hapo ilikuwa wakulipe fidia.
Unafikiri kwa Tanzania hii hata ukiwa unazijua Sheria hautanyanyasika?

Tanzania hii niijuayo inatumia falsafa ya mwenye nazo mhudumie.
 
Hawana shida na hela siku hizi, kila siku wanakusanya kila mwanafunzi 200 na kila wiki sh 1000 kwa kila mwanafunzi za mitihani. Kuna shule zina Hadi wanafunzi 5000
Hadi tunatamani likizo zifutwe😹😹
 
Mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…