DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,229
- 1,950
Si uache kazi sasa.Ni wiki sasa sijalipwa mshahara kwakuwa sijakamilisha fomu ya pepmis.
Ni makosa ya mwajiri wangu lakini ok tuseme ni makosa yangu.
Kwakweli Mungu ni mwema.
Nimekamilisha tayari kujaza ile fomu . Sijui taingiziwa lini mshahara.
Lakini Mungu 🤣🤣🤣🤣 amedouble pesa kwenye biashara zangu.
Kweli Mungu yupo na wanyonge 😂😂😂😂😂.
Kwa moyo wa uzalendo niko tayari nifanye kazi bila mshahara na posho.
KAZI NI IBADA